Kijiti

Lyrics and translation
Tazameni tazameni alivofanya Kijiti (2)
Look you, look you at what Kijiti has done
Kumchukua mgeni kumchezesha foliti (2)
To take a guest and to play Foliti1 with her
Kenda nae maguguni kamrejesha maiti (2)
He went with her to the bush and brought her back as a corpse
Kamrejesha maiti (4)
He brought her back as a corpse
Kenda nae maguguni kamrejesha maiti
He went with her to the bush and brought her back as a corpse
Kenda nae maguguni Oh oh oh ...
He went with her to the bush. Oh oh oh ...
Kijiti alinambi a ondoka mama twenende (2)
Kijiti said to me: ‘Come on girl, let’s go!’
Laiti ningelijua ningekataa nisende (2)
If only I had known I would have refused, I wouldn’t have gone
Kijiti unaniua kwa pegi moja ya tende (2)
Kijiti you kill me for a single shot of tende2
Kwa pegi moja ya tende (4)
For a single shot of tende
Kijiti unaniua kwa pegi moja ya tende (2)
Kijiti you are killing me for a single shot of tende